Archive for January, 2024
-
Jamii iendeleze jitihada matokeo ya utafiti- Dkt. Hashim
Jamii iendeleze jitihada matokeo ya utafiti- Dkt. Hashim Na Nasima Haji, SUZA Wananchi wamehimizwa kuthamini kazi zinazofanywa na watafiti zinazolenga kuendeleza utalii wa mazingira kuwa endelevu ili kuigeuza Zanzibar kuwa kivutio cha […]
-
-
SUZA wapewa jukumu kupitia sheria za bahari
SUZA wapewa jukumu kupitia sheria za bahari Na Nasima Haji, SUZA Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi, Kepteni Abdallah Hussein Kombo, ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) […]
-
Ziara za kimasomo SUZA, Ostfold Norway zaimarika
Ziara za kimasomo SUZA, Ostfold Norway zaimarika Na Nasima Haji, SUZA Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimewateua wanafunzi wanne wanaosomea Stashahada ya Elimu ya Awali na walimu wawili kufanya ziara za kimasomo […]
-
-