Archive for April, 2023
-
-
SUZA yapongezwa kwa Tafiti za Afya
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dr Salum Slim Mohammed ameupongeza Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar SUZA kwa kuendelea kufanya tafiti mbalimbali za Afya ambazo zinasaidia wizara katika […]
-
-
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) akiwa na wajumbe wa kamati ya Baraza
Mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar SUZA Bi Hamida Ahmed Mohammed akiwaongoza wajumbe wa kamati ya Baraza kwenye kikao cha pamoja na wasimamizi wa miradi mbalimbali […]