Ziara ya ujumbe wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ulipotembelea taasisi ya MS Training Center for Development ya Arusha. Ziara hii ilifanyika tarehe 1-December , 2022. lengo la ziara hii ni kubadilishana uzoefu kwenye uendeshaji wa shughuli mbali mbali za kitaaluma.