Ujumbe wa uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar ukiongozwa na Bi. Hamida Ahmed Mohammed Mwenyekiti wa Baraza la Chuo ukiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ujenzi ya Chuo cha Uhasibu Arusha ulipotembelea miradi mikubwa ya ujenzi inayojengwa kwa fedha za ndani za Chuo.