CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)

CHUO KINAPENDA KUUTAARIFU UMMA KUWA KIMETOA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA MWAKA 2019/2020 KWA PROGRAM MBALIMBALI KAMA ZINAVYOJIONESHA HAPO CHINI..

CHUO PIA KINAPENDA KUWATAARIFU WAOMBAJI WOTE WALIOCHAGULIWA KUWA, WAHAKIKISHE WANAINGIA KATIKA AKAUNTI ZAO KWA LENGO LA KUPATA BARUA ZA UDAHILI (ADMISSION LETTER) PAMOJA NA MAMBO MENGINE MUHIMU YA KUJIUNGA NA CHUO.

AIDHA CHUO KINAWATAARIFU WALE WOTE AMBAO HAWAKUFANIKIWA KUCHAGULIWA KWA AWAMU MBILI ZILIZOPITA, WAOMBE KATIKA PROGRAM NYENGINE AMBAZO WANA SIFA NAZO KWA AWAMU HII YA TATU ILIYOPO AMBAYO INATARAJIWA KUFUNGWA TAREHE 13/9/2019.

KWA WALE AMBAO WATAOMBA KWA AWAMU YA TAU WANAJUILISHWA KUWA, PROGRAMU ZOTE WANAWEZA KUOMBA ISIPOKUWA ZA AFYA ZOTE NA UALIMU WA SAYANSI WA MIAKA MITATU (PEMBA)

MWISHO KABISA, CHUO KINAWAOMBA WAOMBAJI WOTE WASISITE KUWASILIANA NA MAAFISA UDAHILI KATIKA KAMPASI TAFAUTI ZA CHUO KWA MSAADA ZAIDI.