Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kupitia Skuli ya Elimu Endelezi na Utaalamu

inawatangazia Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwamba inatowa kozi za

muda mfupi (short courses) za kompyuta kuanzia ngazi ya mwanzo (Basic

Computer Applications) hadi ngazi ya Utaalamu (Professional courses).

Kozi zinazotolewa zikiwemo Introduction to Computer, Speed Typing, Microsoft

Word, Microsoft Excel, Microsoft Access, Power Point, Publisher, Internet,

Programming Languages courses – kama vile Python, JAVA, C++ na Programming

in Accessna Visual Basic. Kozi nyengine ni Website Design and Web Technology,

Mobile Applications Design and Development, Linux and Window

Administrations, Minute Taking and Writing Skills, Customer Care and Services,

Information Ethics for Employees na nyengine nyingi.

Pia Skuli inatowa kozi za utaalamu zikiwemo CISCO CCNA, CISCO IT Essential,

Airfare and Ticketing, Tour Guiding Operations na International Air Transport

Association (IATA).

Kwa upande wa lugha Skuli inatowa kozi za Lugha mbali mbali zikiwemo Lugha

ya Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kihispaniola, Kiarabu na Kichina.

page1image3755088

Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo: 0773848301 au 0772757000 au

page1image1654400

unaweza kufika Kampasi ya Chuo iliyopo Vuga mnamo saa za kazi.

Nyote mnakaribishwa.