CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR
TANGAZO LA MASOMO

KURUGENZI YA ELIMU YA JUU, UTAFITI NA USHAURI YA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) INAWATANGAZIA WALE WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA CHUO KWA NGAZI ZA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) NA SHAHADA ZA UZAMILI (MASTER DEGREES) KUWA MUDA WA UDAHILI UMEONGEZWA HADI TAREHE 17 SEPTEMBA, 2018
PROGRAMU ZINAZOTOLEWA NI KAMA ZIFUATAZO:-

1. DOCTOR OF PHILOSOPHY IN KISWAHILI
2. MASTER OF SCIENCE IN CHEMISTRY
3. MASTER OF SCIENCE IN ENVIRONMENTAL SCIENCE
4.MASTER OF SCIENCE IN CLIMATE CHANGE AND NATURAL RESOURCES MANAGEMENT
5. MASTER OF ARTS IN KISWAHILI
6. MASTER OF EDUCATION, YOUTH, GENDER AND DEVELOPMENT
7. MASTER OF EDUCATION IN TEACHING KISWAHILI TO SPEAKERS OF OTHER LANGUAGES
AHSANTENI.