WANAFUNZI WOTE WALIOJISAJILI KWA ZOEZI LA BTP KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018, WANATAKIWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA TOVUTI YA CHUO ( www.suza.ac.tz kwenye upcoming event) SI ZAIDI YA TAREHE 18/05/2018 KUANZIA LEO TAREHE 15/05/2018. WANAFUNZI WENYE MATATIZO WAWASILIANE NA BI MWANAMRISHO 0777507126. KWA UTARATIBU UFUATAO JUMANNE 15/05/2018 NA JUMATANO 16/05/2018 KWA UPANDE WA TUNGUU NA SIKU YA ALHAMIS 17/05/2018 NA IJUMAA 18/05/2018 NA KWA UPANDE WA BEITRAS IMETOLEWA IDARA YA MISINGI YA ELIMU, MAFUNZO NA UONGOZI – SKULI YA ELIMU 15/08/2018