CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA)

Hii ni taarifa rasmi kuwa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar yatafanyika Siku ya Jumanne tarehe 23 Aprili, 2019 kuanzia saa 2.30 asubuhi katika Kampasi ya Tunguu.

Yafuatayo ni majina ya wahitimu watarajiwa na kozi zao (Provisional list).

Tunaomba ieleweke kuwa majina haya ya wahitimu watarajiwa bado hayajawa rasmi, hivyo mabadiliko yoyote yanaweza kufanyika kuhusiana na majina haya, tunaomba mzidi kuwa wastahamilivu na tutazidi kupeana taarifa zaidi kuhusiana na Mahafali haya kila baada ya muda mfupi.

Taarifa hii pia ichukuliwe kuwa ni mwaliko rasmi wa kuhudhuria mahafali hayo kwa Wanachuo na Wanajumuiya wote wa Chuo.

majina ya wahitimu wa mahafali