Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa) akiwa na baadhi ya viongozi kwenye hafla ya kuagwa baada ya utumishi wa miaka 10 wa kuwa Mkuu wa SUZA. Hafla hii ilifanyika tarehe 6 Oktoba, 2020 katika Kampasi ya Tunguu kwenye ukumbi uliopewa jina lake”